
2,714 views
Meisi Tamar feat Zoe Phyllis
28 Sep 2020
This Slow Chakacha feel Swahili song "Hawezikubali" meaning "He won't allow.." by Meisi Tamar Featuring Zoe Phyllis, aims to encourage listeners to not give up despite the different situations they could be going through. Audio-Visuals- G-Law Productions Lyrics. Mungu wangu, yupo nami kwenye moto huu, Japo tanuru, huoni siteketei? Mungu wangu, yupo nami kwenye jangwa hii, Japo ni chungu, huoni siangamii, Mungu wangu, yupo nami kwenye dhoruba hii, Misukosuko, huoni katu sizami? Sizami eeeeh, ooh ooooh, sizamii.... Hawezikubali iii, nijaribiwe, hadi niangamie no no Hawezikubali iii, eti nishindwe Kustahimili, oh no Hawezi, Hawezi. Mungu Wangu, yupo nami kwenye giza hii Japo Tanuru, ndiye nuru yangu, Mungu wangu, yupo nami kwenye ukame huu, Kwenye ukavu, ndiye uzima wangu, Wanadamu, wanacheka kuteseka kwangu, Ila Mungu kweli ana sababu, Mwanadamu ni nani kulinganishwa na Mungu, Ambaye haniachi, haniaibishi, Hawezikubali iii, nijaribiwe, hadi niangamie no no Hawezikubali iii, eti nishindwe Kustahimili, oh no Hawezi, Hawezi. Haijalishi hali uliyo kwayo, mizigo mizito, machozi na kilio, yupo nawe hadi mwisho wayo, akumulikia nyayo, aliye uzima wako... Hawezikubali iii, nijaribiwe, hadi niangamie no no Hawezikubali iii, eti nishindwe Kustahimili, oh no Hawezi, Hawezi. Special thanks to Bungoma Market mama's, Jael Nabibia, Caevin, Akida and the larger G-Law crew.