Skip to main content
Skip to main content

Abiri wengi watembea kwa miguu Nakuru sababu ya nauli kupanda

  • | Citizen TV
    7,121 views
    Duration: 1:54
    Na huko Nanyuki, wakazi wameghadhabishwa na ongezeko la bei ya mafuta, wakisema itaathiri sana biashara zao na maisha ya kila siku. Wamesema hasira zao zinaelekezwa kwa serikali, wakidai kwamba wamekuwa wakipewa taarifa za matumaini lakini baadaye wanashangazwa na ongezeko la bei za mafuta ya petroli. Wahudumu wa Bodaboda wamesema wamelazimika kuongeza nauli kwa wateja wao, hali ambayo imesababisha baadhi ya abiria kutembea kwa miguu ili kuepuka gharama hizo mpya.