- 22,656 viewsDuration: 2:42Mamia ya abiria wamelazimika kulala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenya baada ya kukwama kutokana na mgomo wa wafanyakazi ulioingia siku ya pili. #bbcswahili #kenya #mgomnowafanyakazi #kenyatta #JomoKenyatta Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw