Skip to main content
Skip to main content

Adha ya usafiri 9 Des.

  • | BBC Swahili
    21,770 views
    Duration: 1:23
    Wakazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo. - Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali. Serikali imepiga marufuku maandamano hayo ikiyaita ni batili na kuwarai raia wabaki nyumbani na watoke tu kama kuna ulazima. Hali ipoje mtaani kwako? Tueleze hapo chini. - - - #tanzaniatiktok #bbcswahili #foryou #maandamano #demokrasi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw