- 1,753 viewsDuration: 1:46Waziri wa michezo Salim Mvurya amefanya mabadiliko kadhaa katika kamati ya maandalizi ya mashindano ya AFCON ya 2027 yatakayoandaliwa na uganda, tanzania na kenya. Mvurya pia alitangaza kuwa hatimaye kenya imelipa ada ya maandalizi ya shilingi bilioni 3.9 inayodaiwa na shirikisho la soka la Afrika CAF