7 Sep 2025 7:30 pm | Citizen TV 8,282 views Duration: 1:31 Afisa mmoja wa idara ya DCI amekamatwa mjini Thika baada ya kuwapiga risasi na kuwaua waendeshaji bodaboda wawili karibu na Kituo cha Polisi cha Makongeni kufuatia ajali iliyohusisha gari lake na pikipiki.