11,037 views
Duration: 1:39
Kizaazaa kilishuhudiwa katika shule ya msingi na ile ya junia ya kanisa la adventisti kaunti ya Narok baada ya mwanafunzi wa gredi ya tisa kuuwawa kwa njia tatanishi ndani ya mazingira ya shule siku ya Jumamosi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya