Africa Eye yachunguza wanawake wanaouza watoto kingono Kenya.

  • | BBC Swahili
    377 views
    Africa Eye imefichua jinsi watoto wanavyouzwa kwa ajili ya ngono katika mji wa Maai Mahiu nchini Kenya na inamfuatilia mwanamke mmoja, Baby Girl, anayewaokoa wasichana dhidi ya unyanyasaji na unyonyaji. Kutazama makala hii kwa kurefu tembelea YouTube ya BBCSwahali #bbcswahili #kenya #biasharayangono Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw