- 1,422 viewsDuration: 3:20Hisia zilishamiri kwenye ibada ya wafu ya watu 16 walioaga dunia kaunti ya Nyeri kufuatia ajali ya barabarani siku kumi na moja zilizopita. Wakizungumza katika hafla iliyoandaliwa uwanja wa Kabiru-ini mapema jumatatu, familia hizo zimeeleza kwa machungu majonzi ya maafa ya ajali hiyo. Naibu Rais Kithure Kindiki aliyehudhuria hafla hiyo akiitaka Idara ya mahakama, kuondoa makataa ya kuafikiwa kwa sheria mpya za barabarani zinazofanikisha faini za papo hapo