- 7,885 viewsDuration: 3:16Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali za barabarani maeneo ya Nyeri na Bomet zimefikia watu kumi na wanane katika muda wa saa ishirini na nne zilizopita. Idadi hii ikiongezeka kufuatia ajali iliyotokea eneo la Kapmusa, Bomet na kuhusisha matatu na lori ya kubebea mchanga huku mtu mmoja zaidi kwenye ajali ya Nyeri akiaga alipokuwa akipokea matibabu.