Ajali zaongezeka kwenye barabara la Lamu-Witu-Garsen

  • | Citizen TV
    331 views

    Kumekuwa na ongezeko la visa vya ajali za barabarani katika maeneo ya Kibaoni,Majembeni pamoja na Mpeketoni kwenye barabara kuu ya Lamu kwenda Witu na Garsen.