- 4,268 viewsDuration: 23sMkwezi Dinakaraj wa nchi India, amejenga ngazi ya chuma inayozunguka mtende katika shamba lake ili kurahisisha kufika juu ya mti. Anasema hatua hiyo itarahisisha uvunaji wa utomvu wa mtende, akieleza kuwa kuna upungufu wa watu wenye uwezo wa kukwea mitende. Dinakaraj amesema anapanga kujenga ngazi kama hiyo kwenye miti mingine ya mitende katika shamba lake. #bbcswahili #India #kilimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw