- 218 viewsDuration: 7:54Zoezi la kuwasajili madereva wa malori makubwa kwa nafasi za ajira nchini Saudi Arabia linaendelea leo kwa siku ya tatu katika uwanja wa Tononoka jijini Mombasa. M-Ajira, chini ya mwavuli wa EXECUGET kwa ushirikiano na SMASCO, imekita kambi jijini humo kusaka zaidi ya madereva 500 watakaonufaika na nafasi hizo za ajira, huku zoezi hilo likitarajiwa kukamilika kesho