- 10,767 viewsDuration: 3:17BBC Africa Eye inamwangazia kiongozi wa upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ambaye ametumia zaidi ya mwaka mmoja gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, Kosa ambalo kama atapatikana na hatia anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifo. Aliwahi kunusurika jaribio la kuuawa ambapo alipigwa risasi mara 16, na amewahi kukamatwa mara nyingi katika kipindi chote cha maisha yake akiwa katika harakati za kupigania demokrasia na mabadiliko ya katiba. Makala hii kwa urefu inapatikana katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #afrikaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw