Skip to main content
Skip to main content

"Alikuwa anashirikiana na watu kama mwananchi wa kawaida'

  • | BBC Swahili
    27,394 views
    Duration: 1:46
    Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Marehemu Hafidh Ameir Hassan, amezikwa leo katika Makaburi ya Kizimkazi, Zanzibar. Je wananchi wa Kizimkazi wana mzungumziaje? #bbcswahili #tanzania #samiasuluhuhassan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw