15 Apr 2026 10:18 am | Citizen TV 615 views Duration: 1:32 Aliyekuwa Jaji Mkuu, David Maraga, ameikosoa serikali kwa kushindwa kuchukua hatua madhubuti za kuwalinda Wakenya dhidi ya ongezeko la gharama ya mafuta, akisema hali hiyo inaendelea kuathiri maisha ya wananchi wa kawaida.