Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa meja wa jeshi afungwa maisha kwa mauaji ya familia yake

  • | Citizen TV
    8,739 views
    Duration: 1:43
    Mahakama Kuu imemhukumu Peter Mugure kifungo cha maisha gerezani baada ya kumpata na hatia ya kuwaua mkewe na watoto wake wawili mwaka 2019.