22 Sep 2026 7:27 pm | Citizen TV 360 views Aliyekuwa mwanariadha Betty Murugi amehamishwa hadi katika hospitali ya kitaifa ya rufaa na mafunzo ya Kenyatta ambako anatarajiwa kupata matibabu maalum.