Skip to main content
Skip to main content

Unatamani kuanza maisha mapya Ulaya?

  • | BBC Swahili
    60,228 views
    Duration: 1:12
    Kuna mji huu wa Ulaya unaoitwa Greenock unatafuta wakazi wa kuhamia ili kuongeza idadi ya watu. Moja ya changamoto katika mji huo ni tatizo la ajira kwani licha ya kuhitaji watu, swali kubwa ni watafanya kazi gani? @mrs.tadicha anakuelezea kwa kina kabla hujafunga virago kwenda #bbcswahili #scotland #greennock Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw