- 17,899 viewsDuration: 1:29Nani humlinda Putin? Rais wa Urusi analindwa kwa mfumo mkali unaohusisha mamia ya walinzi, msafara maalumu na hatua kali za usalama, ikiwemo kukagua chakula na vinywaji vyake. Lakini siri ya ulinzi wake inaishia wapi? @bosha_nyanje anaelezea zaidi #bbcswahili #usalamaurusi #ulinziwarais Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw