Skip to main content
Skip to main content

Amnesty: Hakuna aliyewajibishwa kwa mauaji ya waandamanaji Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    34,218 views
    Duration: 28:16
    Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International limeishutumu serikali ya Tanzania kwa kushindwa kuwawajibisha waliohusika na vifo vya waandamanaji kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw