Skip to main content
Skip to main content

Amuiga Trump akiwa gerezani

  • | BBC Swahili
    76,676 views
    Duration: 45s
    Mwigizaji anayemuigiza Rais wa Marekani, Donald Trump, akiwa gerezani amevutia umati wa watu jijini Tehran, Iran. Onyesho hilo limeandaliwa na serikali ya Iran wakati mvutano wa kidiplomasia kati ya Tehran na Washington ukiendelea. David Nkya anaelezea #bbcswahili #foryou #fyp #viral #trumptehran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw