- 675 viewsDuration: 1:52Katika wadi ya Mumbuni North, Anthony Kyalo Kisoi wa Wiper Patriotic Front ametangazwa mshindi wa kiti hicho baada ya kuzoa kura 3, 849 katika uchaguzi mdogo uliomalizika hivi punde. Kisoi alimpiku kidogo Harrison Wambua wa maendeleo chap chap aliyepata kura 2,766