Kampuni ya Base Titanium, ambayo ilikuwa ikichimba madini ya titanium katika eneobunge la Msambweni, Kaunti ya Kwale, imerejesha asilimia tisini na tano ya ardhi iliyoharibiwa na shughuli za uchimbaji, kufuatia kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji madini mwezi Disemba mwaka 2024.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive