- 10,562 viewsDuration: 2:32Mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Uingereza na Ajentina inachezwa Jumatano, Julai 15, 2026, katika Uwanja wa Atlanta nchini Marekani. Mshindi wa mtanange huu wa kihistoria atachuana na Uhispania kwenye fainali kubwa itakayofanyika Jumapili, Julai 19. Ni vita ya historia na kisasi, @ahmedbahajjofficial anaidadavua. Je unaipa ushindi tumu gani? #bbcswahili #kombeladunia #fifa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw