Skip to main content
Skip to main content

Arno Yafunga: Kutoka kambi ya wakimbizi hadi Olimpiki

  • | BBC Swahili
    2,296 views
    Duration: 2:00
    Arno Yafunga na familia yake walipokimbia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ndoto ya kushiriki Michezo ya Olimpiki ilikufa, sasa, kijana huyo wa miaka 15 anayeshiriki mchezo wa judo anajiandaa kuwania Timu ya kwanza kabisa ya Wakimbizi katika Michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar. Akipewa mafunzo na baba yake, Arno ameshinda changamoto nyingi ikiwemo maisha ya kambi ya wakimbizi, ugumu wa kifedha na vikwazo vingine vingi ili kufikia jukwaa la kimataifa. Lengo lake si tu kushinda medali, bali pia kuwaonyesha wakimbizi wengine vijana kwamba ndoto zao bado zinaweza kutimia. Tazama simulizi ya kusisimua ya safari ya Arno. #bbcswahili #mkimbizi #senegal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw