- 14,028 viewsDuration: 2:46Je, unayajua majina ya timu zitakazocheza Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025? Barani Afrika, majina ya timu za mpira wa miguu sio tu alama za mchezo ni hadithi za utamaduni, ushujaa na historia za mataifa. Kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026, mataifa 24 yatashindana, kila moja likiwa na jina la kipekee linaloonyesha fahari yake. @ahmedbahajjofficial anaelezea zaidi - - #bbcswahili #michezo #soka #afcon