Asilimia 18 ya wasichana hupata mimba kabla ya kufikisha umri wa miaka 18

  • | K24 Video
    26 views

    Asilimia 18 ya wasichana hupata mimba kabla ya kufikisha umri wa miaka 18 na wengi wao hulazimika kuacha masomo. Hayo yamedokezwa na wizara ya afya ambayo inafuatilia zaidi kaunti ya turkana kwani asilimia 30 ya wasichana katika kaunti hiyo huolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka kumi na minane.