Askari wa mji wa Kapsabet wazuia malori ya kubeba mbolea mjini

  • | Citizen TV
    3,779 views

    Kulikuwa na kizazaa mjini Kapsabet baada ya askari wa kaunti wa mji huo kufunga na kuzuia malori yaliyokuwa yakisafirisha mbolea ya wakulima hadi kiwanda Cha Chebut.