Masomo ya kidijitali Kisii

  • | Citizen TV
    158 views

    Zaidi ya Vijana 150 kutoka Kisii wanufaika na mpango wa elimu ya kidigitali ili kuwawezesha kujitegemea na kukabiliana na uhaba wa kazi miongoni mwa vijana