Mwanajeshi aliyeuwawa kwenye ajali azikwa

  • | Citizen TV
    1,583 views

    Afisa wa kijeshi Luteni Daniel mutinda Nzuva ambaye aliaga duania kutokana na ajali ya ndege Huko kinango kaunti ya kwale amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha katoteni,mwingi west