Siku ya kuangamiza mihadarati yaadhimishwa Mbeere

  • | Citizen TV
    83 views

    Maafisa wa usalama katika eneo la mashariki ya kenya wamedokeza kuwa kuna ongezeko kubwa na matumizi ya mihadarati miongoni mwa wanafunzi hasa wanafunzi wa kike katika vyuo vikuu