Skip to main content
Skip to main content

Askofu wa ACK Mbeere ataka serikali kuu isimamie sekta ya afya

  • | Citizen TV
    386 views
    Duration: 1:43
    Kanisa la Kiangilikana Dayosisi ya Mbeere kaunti ya embu, sasa linatoa wito wa kurejeshwa kwa huduma za afya kwa serikali ya kitaifa, kwa sababu ya kuzorota kwa utoaji wa huduma hizo katika kaunti mbalimbali.