- 392 viewsDuration: 1:24Askofu wa Kanisa Katoliki dayosisi ya Embu Peter Kimani amewaomba vijana washiriki kikamilifu katika zoefu la usajili wa wapiga kura linaloendelea na kuhamasisha wengine kujiunga kupitia mpango wa ‘Niko Kadi’. Akizungumza katika misa ya vijana katika Kanisa la St Peter and Paul Cathedral Karurina, askofu huyo aliwahimiza vijana kulinda harakati hiyo dhidi ya ushawishi wa kisiasa na kufanya maamuzi yaliyo huru, huku akiwahimiza kuepuka kutumika na wanasiasa kuvuruga amani.