Skip to main content
Skip to main content

Athari za mvua vuli nchini

  • | Citizen TV
    1,961 views
    Duration: 1:41
    Mvua kubwa inayoendelea msimu huu wa mvua za vuli za mwezi Oktoba hadi Disemba imesababisha maafa, uharibifu wa mali, mafuriko na watu kujeruhiwa katika sehemu mbalimbali nchini. Baadhi ya athari za kusikitisha zaidi ni maporomoko ya ardhi katika lokesheni ya Mukurtwo, kaunti ya Elgeyo Marakwet, Ijumaa usiku kufuatia mvua kubwa iliyonyesha.