Atwoli apuzilia mbali wito wa mamlaka ya mabawabu

  • | Citizen TV
    2,498 views

    Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amepuzilia mbali wito wa mamlaka ya kudhibiti walinzi wa kibinafsi nchini wa kususia kulipa ada za kila mwezi kwa COTU. Atwoli, amamemkashififu vikali mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Fazul Mohammed, kwa kile alichokitaja kama fitina, na kusema kuwa hana uwezo wa kutoa amri hiyo. Akizungumza na wanahabari atwoli alionya kuwa kampuni yeyote ya kibinafsi itakayo tekeleza amri hiyo itachukuliwa hatua kali ya sheria.