- 3,704 viewsDuration: 43sHaya ni maajabu ama kweli! đŽ Mchezaji wa mchezo wa kutembea kwenye kamba nyembamba (slacklining), Florian Zoller, ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kufanikiwa kuvuka kamba maalumu iliyoningâinizwa kati ya magari mawili ya kebo (cable cars) yaliyokuwa yakiningâinia angani. Umbali aliouvuka ni mita 144. Rekodi hiyo ilithibitishwa na Tume ya Michezo ya ISA (ISA Sport Commission) tarehe 29 Oktoba. - - #bbcswahili #michezo #rekodiyadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw