Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya kesi za waathiriwa wa machafuko ya uchaguzi zaairishwa TZ. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,677 views
    Duration: 28:10
    Kesi ya uhaini inayowakabili mamia ya vijana nchini Tanzania imeendelea kusikilizwa hii leo, huku kesi kadhaa zikisikizwa na kuahirishwa kufuatia kutokukamilika kwa uchunguzi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw