Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya viongozi katika chama cha ODM wasema katiba haikufuatwa sawa kuapisha viongozi

  • | Citizen TV
    5,284 views
    Duration: 2:56
    Mpasuko ndani ya chama cha ODM umeendelea hata baada ya mkutano wa Mombasa uliofaa kuziba nyufa ndani ya chama hicho. Baadhi ya viongozi wa chama hicho sasa wanasema katiba ya chama haikufuatwa kuwaapishwa viongozi wapya wa chama huko Mombasa, kabla ya kongamano la kitaifa la wajumbe kuandaliwa.