24 Mar 2026 10:14 am | Citizen TV 1,376 views Duration: 2:23 Baadhi ya Viongozi wa chama cha ODM eneo la magharibi wameapa kutohudhuria mkutano mkuu wa chama hicho, NDC ambao umeratibiwa kufanyika tarehe ishirini na saba mwezi huu jijini Nairobi.