Baadhi ya wabunge wa Kenya Kwanza wapinga Mswada wa Fedha 2024

  • | TV 47
    465 views

    Baadhi ya wabunge wa Kenya Kwanza wapinga mswada huo.

    Wamuchomba anadai ushuru wa juu ni adhabu na ni hatari.

    Anadai kuwa ni mbinu ya kubuni mjadala kinzani.

    Ushiriki wa umma kwenye Mswada wa Fedha unaendelea.

    Amemtaka Ruto kutanguliza Mwananchi badala ya ulipaji wa madeni.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __