31 Mar 2026 1:43 pm | Citizen TV 299 views Duration: 1:59 Baadhi ya wakazi wa eneo la Kalatine, wadi ya Mumoni, Mwingi Kaskazini, wamelalamikia uhaba mkubwa wa maji ambao sasa unatishia ustawi wa familia zao.