Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya Wakenya wasalia bila huduma za SHA mwaka mmoja baadaye

  • | Citizen TV
    704 views
    Duration: 3:26
    Ni mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa bima mpya ya afya ya umma ya SHA kutoka iliyokuwa bima ya NHIF, huku wakenya katika baadhi ya sehemu wakisalia bila huduma hizi. Hii ni baada ya SHA kufungwa kwa hospitali kwa tuhuma za kughushi malipo na hata nyingine kutajwa kuwa hospitali hewa. Baadhi ya maeneo haya ni moja ya hospitali za jadi katika kaunti ya Kisii ambako wakaazi sasa wanalia ngoa kwani wanasafiri muda mrefu kutafuta matibabu