- 594 viewsDuration: 2:27Licha ya rais William Ruto kutoa idhini kwa wanafunzi wote wa gredi ya kumi kuingia shuleni bila sare, baadhi ya wanafunzi hao bado wamesalia nyumbani kutokana na hali ngumu ya maisha. Katika vijiji vingi, ukosefu wa nauli ulikuwa kizingiti kikubwa kwa wanafunzi hao kufika shuleni.