Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana Kimani Wamatangi

  • | Citizen TV
    486 views
    Duration: 1:26
    Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana kimani wamatangi iwapo atakosa kushughulikia kwa dharura sekta ya afya ya kaunti hiyo inayoendelea kuzorota.