Skip to main content
Skip to main content

Bajeti ya 2025/2026 yazidi kwa asilimia 8.6

  • | Citizen TV
    1,621 views
    Duration: 3:05
    Bajeti ya mwaka wa 2025/2026 inatarajiwa kupanda kwa asilimia 8.6 baada ya Bunge la Kitaifa kupitisha mapendekezo ya nyongeza ya Bajeti kutoka shillingi trillioni 4.2 hadi trillioni 4.6. Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa Bajeti Samuel Atandi Nyongeza hii imetokana na mishahara ambayo haijalipwa katika sekta za elimu, usalama na Afya