- 6,397 viewsDuration: 2:03Tuzo za Ballon d’Or 2026 zitatolewaJumatatu Oktoba 26 jijini London, Uingereza, huku nyota kama Harry Kane, Lamine Yamal na Kylian Mbappé wakipewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa kiume duniani. Sherehe ya kutoa tuzo hii hiyo itaangazia tuzo za mwanasoka bora wa kike, kipa bora, chipukizi bora, makocha na klabu bora za mwaka. Mwandishi Omary Mkambara @loko.omi anatujuza mengi kuhusu tuzo hizo Video: @frankmavura #bbcswahili #ballondor #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw