- 272 viewsDuration: 1:55Kenya imejaliwa wadhifa mwingine wa juu katika shirika la umoja wa mataifa huku balozi Martin Kimani akiteuliwa kuwa naibu katibu mkuu kwa bara Afrika katika idara ya siasa na masuala ya kudumisha shughuli za amani. Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres alitangaza uteuzi huo huku Kimani akimrithi mwenzake anayeondoka Martha Ama Akyaa Pobee kutoka nchini Ghana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive