- 173 viewsDuration: 1:04Bandari FC inayoshiriki ligi kuu nchini imempiga kalamu kocha wake mkuu raia wa Morocco Mohammed Borji baada ya miezi miwili pekee. Taarifa hizo zimethibitishwa na afisa mkuu Tony Kibwana huku mkufunzi wa Makipa Razak Siwa akitarajiwa kushikilia kwa mechi ya kesho dhidi ya Gor Mahia uwanjani Mbaraki.