12 Dec 2025 8:28 pm | Citizen TV 157 views Duration: 1:16 Timu ya bandari youth imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye mchuano wa rashid abdallah super cup baada ya kuilaza nasty milan kwa matuta manne kwa moja.